Afrika kusini ipo njia panda kisiasa kufuatia uchaguzi mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Chama tawala cha ANC kwa mara ya kwanza kimepata chini ya asilimia 50 ya kura zinazotakiwa kuunda serikali. Je nini kitakachokikwamua chama hicho? Uchaguzi wa marudio au kura ya mseto?