Matitu alikuwa akizungumza na Mwandishi wa VOA, Sunday Shomari, nchini Misri, Jumapili.
AFCON 2019 MISRI : Uchambuzi : Tanzania vs Senegal
Your browser doesn’t support HTML5
Mchambuzi Abdullah Matitu wa Tanzania akieleza mapungufu yaliyojitokeza katika mechi ya Tanzania na Senegal.