Kashasha asema mambo yamebadilika katika ulimwengu wa soka...
AFCON 2019 MISRI : Mahojiano na mchambuzi Kashasha
Your browser doesn’t support HTML5
Mwandishi wa VOA Sunday Shomari akizungumza na Mwalimu Kashasha nchini Misri masaa machache kabla ya mechi ya Tanzania na Senegal, Jumapili