AFCON 2019 MISRI : Wakenya washangilia ushindi wa timu yao ya taifa

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wa Kenya wakiwa na bashasha baada ya timu yao ya taifa kuifunga timu ya Tanzania magoli matatu kwa mbili.
Watumia utamani wa jadi : Kanyaga, kanyaga, kanyaga dhidi ya mahasimu wao...