Tanzania ni mwenyeji wa mkutano wa pamoja wa viongozi wa SADC na EAC unaozungumzia mzozo wa mashariki mwa DRC.

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.