Michezo ya Olimpiki huko Paris inazidi kupamba moto huko Taifa la Sudan Kusini likijitangaza vyema kimataifa kupitia michezo.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.