UN: Uganda inaunga mkono waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti ya wataalam ya Umoja wa mataifa imesema kwamba Uganda inaunga mkono kundi la waasi la M23 na kusaidia kundi hilo kuhepa vikwazo