Jeshi la Marekani limefanya operesheni nchini Haiti ya kuwaondoa wafanyakazi wasio muhimu wa ubalozi wake kufuatia kuongezeka kwa ghasia

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.