Polisi Tanzania wawakamata watu wanaotuhumiwa kutoa "maneno ya uchochezi"
Your browser doesn’t support HTML5
Jeshi la Polisi nchini Tanzania, limethibitisha kuwakamata, na kuwashikilia watu kadhaa kwa mahojiano kutokana na maneno wanayodaiwa kuyatoa, ambayo yanaelezwa kuwa ya uchochezi.