Mpango wa Biden kuipatia Ukraine mabomu ya rashasha waibua utata

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati Biden akianza ziara itakayompleka hadi nchini Lithuania kwa mkutano wa kilele wa NATO, mpango wa Marekani wa kuipatia Ukraine mabomu ya rashasha umeibua utata na kukosolewa na baadhi ya washirika wake.