Rushwa ya ngono inaelezewa kuongezeka mahala pa kazi nchini Tanzania na hata mataifa mengine barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Rushwa ya ngono barani Afrika inajidhihirisha kwa namna mbalimbali kuanzia ngono ya madaraja kwa wanafunzi hadi maeneo ya kazi. Unyanyasaji wa kijinsia wa wanawake wanaotafuta ajira au waliopo makazini ikimanisha upewaji vyeo na kadhalika.