Kagame na Tshisekedi wakutana Angola
Your browser doesn’t support HTML5
Raiis Paul Kagame wa Rwanda na mwenzake wa DRC, Felix Tshisekedi, wamekutana mjini Luanda, Angola, katika juhudi za kutanzua mzozo uliopo kati ya nchi hizo mbili.
Your browser doesn’t support HTML5