Kongamano la Waislamu wa Marekani na Canada ICNA lafunguliwa Baltimore
Kikao cha ufunguzi waKongamano la waislamu Icna Marekani mjini Baltimore, Maryland, Mei 28, 2022
wajumbe wakielekea kwenye vikao mbali mbali wakati wa kongamano la ICNA mjini Baltimore, Maryland
Kibanda cha Shirika la UMR, linalotetea haki za watoto na kuwasidia watoto wanaoteswa na kufanyishwa kazi.
Kibanda cha kuuza maandishi ya kidini yaliyochongwa kwenye mbao kwenye kongasmano la ICNA
Wajumbe wahudhuria kikako kuhusu masuala ya familia kwenye kongamano la ICNA
Wanafunzi wa mradi wa kujifunza kujenga Robot wakati wa mkutano wa ICNA
Ukumbi wa soko la biashara kwenye kongamano la Waislamu, ICNA mjini Baltimore, Maryland Mei 28, 2022
Mjadala kuhusu familia katika uislamu kwenye kongamano la ICNA, Baltimore, Maryland Mei 28 2022
Kibanda cha kuuza vito kwenye kongamano la waislamu ICNA mjini Baltimore
Ukumbi wa vibanda vya biashara kwenye kongamano la waislamu ICNA