Rwanda yafanya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yaliotokea nchini humo miaka 28 iliyopita
Your browser doesn’t support HTML5
Rwanda yafanya kumbukumbu za mauaji ya kimbari yaliyofanyika nchini humo miaka 28 iliyopita, na kwa mara ya kwanza wananchi wamekutana pamoja kwa shuhuda mbalimbali.