Duniani Leo August, 23 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa nchi saba tajiri Zaidi duniani, G7, utafanyika hapo kesho Jumamosi nchini Ufaransa, ambako masuala mbalimbali yanatarajiwa kujadiliwa. Na Idara ya usalama nchini Kenya kwa Mara nyingine imealaumiwa jinsi inavyotumia nguvu kuwakabili waandamanaji.