Kampeni za Uchaguzi Zanzibar

Bendera za vyama vya kisiasa katika barabara kuelekea Jangwani Dar es Salaam

Bendera za vyama vya kisiasa vikipepea pamoja katika eneo moja la Dar es Salaam

Wananchi wasoma vichwa vya habari kwenye kibanda cha gazeti Unguja

Mfuasi wa chama cha CUF akitembea barabarani Unguja Zanzibar
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na rais mstahafu Amani Abedi Karume katika mkutano wa CCM Unguja
Mashabiki wa chama cha CUF njiani Unguja, Zanzibar
Kibanda kilichojaa mabango ya chama cha CCM mjini Unguja, Zanzibar
Mabango ya kisiasa kwenye ukuta mjini Zanzibar
Wafuasi wa CUF wakirudi nyumbani baada ya mkutano wa kampein
Mashabiki wa chama cha CUF waandamana mjini Unguja, Zanzibar
Harakati za watu kwenye njia kuelekea mtaa wa Forodhani Unguja, Zanzibar
Mkutano mkuu wa CCM kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti Unguja
Bendera za UKAWA na CCM zapeperuka kwa pamoja njiani Dar es Salaam