Hali wakati wa Mkutano Mkuu wa chama cha CCM Dodoma
Rais Kikwete na viomngi wakuu wa CCM
Mikoba yenye makabarasha kwa ajili ya mkutano mkuu wa CCM
Polisi wapita mbele ya makao makuu ya CCM Dodoma
Wapita njia watizama maandamano ya CCM
Hali nje ya makao makuu ya CCM wakati wa mkutano mkuu 2015
Bernard Memba akizungumza na Lowasa wakati wa mkutano wa chama cha CCM
Watatu bora wa CCM 2015
Watu wakusanyika nje ya makao makuu ya CCM
Polisi wapiga doria Dodoma mjini baada ya maandamano ya CCM
Makada wa CCM waimba kumunga mkono Lowasa