No media source currently available
Umoja wa Mataifa umejikuta una hali ngumu kufanya maamuzi kwa sababu Russia ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la umoja huo, huku Rais wa Ukraine akisisitiza hatua zichukuliwe kuhakikisha kuna usalama duniani.