Paetongtarm, binti mdogo wa bilionea katika sekta ya mawasiliano ya simu na waziri mkuu wa zamani Thaksin Shinawatra, alichukua wadhifa huo mwezi Septemba kama mwanachama wa nne wa ukoo huo kuiongoza serikali ya Thailand katika kipindi cha miaka 20.
Paetongtarm alilazimika kutangaza mali na madeni yake kwa Tume ya kitaifa ya kupambana na ufisadi (NACC).
Alikiri kuwa na mali zenye thamani ya baht bilioni 13.8, sawa na dola milioni 400, waraka uliochapishwa kwenye tovuti za vyombo vya habari ulionyesha.
Forum