Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 09:11

Watu tisa wafariki baada ya shambulizi la bomu Kenya


Watu tisa wafariki baada ya shambulizi la bomu Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Watu wapatao tisa wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya shambulizi la bomu kutokea kaskazini mwa Kenya.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kukutana kwa mara ya kwanza kuhusu hatua ya Russia kupeleka majeshi karibu na Ukraine.

Maelfu ya raia wa Sudan wanaendelea na maandamano katika mji mkuu wa Sudan na miji mingine kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari

XS
SM
MD
LG