Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 16:56

Watu Afrika wenye wanafunzi Ukraine wahofia usalama wa watu wao


Watu Afrika wenye wanafunzi Ukraine wahofia usalama wa watu wao
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Wakazi katika baadhi ya nchi za Afrika waliokuwa na wanafunzi katika taifa la Ukraine wanaishi kwa hofu tangu Russia ilipolivamia taifa hilo.

Ardhi ya kilimo nchini Kenya imekauka, uzalishaji umepungua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG