Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 07:20

Wapalestina wafurika mitaa ya Deir al-Balah huku wimbi la watu likielekea katikati ya Gaza


Wapalestina wafurika mitaa ya Deir al-Balah huku wimbi la watu likielekea katikati ya Gaza
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Wapalestina wafurika mitaa ya Der Al Bala wakati wimbi la watu likielekea katikati ya Gaza wakati vikosi vya Israel vikiingia kwa nguvu kaskazini na kusini mwa Ukanda huo.

Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa kujadili udhibiti wa hewa kaa katika nchi zinazoendelea , Carbon Credit unafanyika Washington DC.Mabadiliko ya hali ya hewa yazidi kuleta madhara duniani, huku maelfu ya watu wakifariki kutokana na mafuriko.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG