No media source currently available
Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waeleza wasiwasi wao kuhusu mazungumzo yanayofanyika Nairobi katika kutafuta usalama wa eneo la mashariki ya DRC, mojawapo likiwa kuzungumza na makundi ya waasi.