Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 05:36

Wananchi wa Kenya waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu


Wananchi wa Kenya waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wananchi wa Kenya wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu kwa hamu kujua nani atakuwa rais wa tano wa taifa hilo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken asema Rwanda na DRC zakubaliana kujihusisha na mazungumzo ya moja kwa moja kutatua mzozo baina yao na Marekani itaendelea kufuatilia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

XS
SM
MD
LG