No media source currently available
Sera za mambo ya nje za Rais wa Marekani Joe Biden zakabiliwa na changamoto ikiwemo kuongezeka ugaidi, Taliban kuchukuwa utawala Afghanistan, mgogoro wa nyuklia wa Iran na mvutano wa Israeli na Wapalestina.