No media source currently available
Shirika la Misaada la Marekani USAID, kupitia mpango wake wa kupambana na COVID-19 limeichagua Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa machache yatakayopatiwa fedha baada ya ongezeko la dola milioni 25 kwa ajili ya kuongeza kasi utaoji chanjo.