Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 04:42

Ukraine yasema Russia imezuia huduma za kibinadamu kuwafikia raia


Ukraine yasema Russia imezuia huduma za kibinadamu kuwafikia raia
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Ukraine imesema Alhamisi kwamba Urusi imekataa kuruhusu kufikishwa huduma za kibinadamu kuokoa maelfu ya raia waliokwama katika maeneo yenye mashambulizi wakati pande hasimu zikishindwa kufanya chochote katika mazungumzo ya ngazi ya juu tangu Russia ilipovamia Ukraine.

XS
SM
MD
LG