Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 08:13

Ukraine yaendelea na jaribio jipya la kuwaondoa raia waliokwama Mariupol


Ukraine yaendelea na jaribio jipya la kuwaondoa raia waliokwama Mariupol
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Ukraine imesema Ijumaa kuwa jaribio jipya linaendelea kuwaondoa idadi ya raia waliokwama katika kiwanda cha chuma kilicho harabiwa katika mji wa Mariupol katika mapigano ya umwagaji damu ya majeshi ya Russia na kuvuruga juhudi za awali za kuwaondoa watu kwa salama katika eneo hilo.

- Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema limeorodhesha visa vya uhalifu wa vita Ukraine, ikiwemo mauaji ya makusudi ya raia yaliyofanywa na wanajeshi wa Russia walipoliteka eneo la kaskazini mashariki mwa Kyiv mji mkuu wa Ukraine mwezi February na March.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG