Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 04:56

Uganda: Bobi Wine akamatwa tena, maandamano yazuka upya


Robert Kyagulanyi akiwa mahakamani Agosti 23, 2018.
Robert Kyagulanyi akiwa mahakamani Agosti 23, 2018.

Mandamano yameshuhudiwa jijini Kampala baada ya serikali kuwakamata wabunge Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine na mwenzake Francis Zaake, walipokuwa wanasubiri kupanda ndege kuelekea kwenye matibabu nje ya Uganda.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:57 0:00

Wabunge hao wanadaiwa walipigwa na kuumizwa na kikosi maalum cha jeshi kinachotoa ulinzi kwa Rais Yoweri Museveni (SFC), baada ya vurugu kutokea siku ya mwisho ya kampeni katika uchaguzi mdogo mjini Arua, kaskazini mwa Uganda.

Mwandishi wa Sauti ya Amerika amefanya mahojiano na Sam Paul Nahaima, mwandishi wa habari akiwa Kampala, na kwanza kumuuliza hali ilivyo katika hospitali ambayo wabunge hao wamepelekwa kwa lazima.

XS
SM
MD
LG