Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 05:23

Uchaguzi Mkuu 2022: Wananchi wajitokeza kupiga kura Angola


Uchaguzi Mkuu 2022: Wananchi wajitokeza kupiga kura Angola
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:26 0:00

Vituo vya kupiga kura vilifunguliwa saa moja asubuhi kote nchini Angola mapema ambapo watu tayari walikuwa wamejipanga katika mistari. Vituo vya kupiga kura vitafungwa saa 11 jioni.

Mwandishi wa VOA Mayra de Lassalette anatueleza namna hali ilivyokuwa saa za awali za siku ya uchaguzi Jumatano Agosti 24, siku ambayo wananchi wa Angola wanapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu.

Vyama vikuu ambavyo vinashindana katika uchaguzi huu ni MPLA, ambayo imekuwa madarakani kwa miaka 47, na UNITA, ambayo katika uchaguzi huu imefanikiwa kuwahamasisha wananchi wengi na kupata umaarufu zaidi na wapiga kura.

XS
SM
MD
LG