Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Machi 16, 2025 Local time: 23:52

Tanzania yathibitisha kuuwawa kwa Mtanzania wa pili kufuatia shambulizi la Hamas Oktoba 7

Tanzania yathibitisha kuuwawa kwa Mtanzania wa pili kufuatia shambulizi la Hamas Oktoba 7
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Serikali ya Tanzania yathibitisha kuuwawa kwa Mtanzania wa pili aliyekuwa nchini Israel kufuatia shambulizi la kushitukiza lililofanywa na wapiganaji wa Hamas ndani ya Israel Oktoba 7.

XS
SM
MD
LG