Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 21:36

Tanzania yasema jeshi lake liko tayari kutumikia UN pahali popote ulimwenguni


Tanzania yasema jeshi lake liko tayari kutumikia UN pahali popote ulimwenguni
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Makamu wa Rais wa Tanzania amekiambia kikao cha 77 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa nchi yake iko tayari kutuma wanajeshi wake popote ulimwenguni kwa ajili ya kulinda amani chini ya mpangilio wa UN.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG