Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 12:50

Siku mia moja za vita Sudan zimesababisha madhara makubwa katika maisha ya raia na miundombinu


Siku mia moja za vita Sudan zimesababisha madhara makubwa katika maisha ya raia na miundombinu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Siku 100 za vita nchini Sudan zimesababisha madhara makubwa katika maisha ya raia na miundombinu ya nchi hiyo, lakini hali mbaya zaidi inatarajiwa kutokea.

Bomu la kujitoa muhanga nchini Somalia limeua watu 13 na kujeruhi wengine ishirini katika chuo cha mafunzo nchini humo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG