Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 28, 2024 Local time: 11:31

Shambulizi la Russia katika kituo cha reli Ukraine laua watu 39


Shambulizi la Russia katika kituo cha reli Ukraine laua watu 39
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Takriban watu 39 wameuwawa na wengine 87 wamejeruhiwa ijumaa wakati roketi mbili zilipopiga kituo cha reli mashariki mwa Ukraine kikiwa kimejaa watu waliohamishwa, maafisa wa ukraine wamesema...

- Mapigano kati ya majeshi ya DRC na waasi wa M23 yaendelea Kivu Kaskazini.

- Duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais Ufaransa kufanyika Jumapili.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG