Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Novemba 05, 2024 Local time: 19:40

Russia yawasilisha rasmi malalamiko dhidi ya Israel kumkabidhi raia wake Marekani

Rais Vladimir Putin na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Rais Vladimir Putin na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

Ubalozi wa Russia mjini Washington unasema umewasilisha malalamiko rasmi ya kidiplomasia kupinga hatua ya Israel kumkabidhi raia wa Russia kwa vyombo vya usalama vya Marekani.

Amekamatwa kwa kushukiwa kuwaibia wateja wa Marekani zaidi ya dola za Marekani milioni 20 kupitia wizi wa akaunti za mitandaoni kwa kutumia Credit Card.

Katika tamko lilowekwa kwenye Facebook Jumatano, ubalozi huo pia uliituhumu Washington kwa “kuwasaka” raia wa Russia sehemu mbalimbali ulimwenguni.

Tamko hilo limesema kuwa Russia ilikuwa imepeleka ujumbe rasmi Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, wakitaka haki za Aleksei Burkov ziheshimiwe.

Wizara ya Sheria ya Marekani amesema Burkov alikuwa amefunguliwa mashtaka ya wizi wa fedha kupitia mitandao, kufanya wizi kupitia mashine za kutoa fedha kwa kutumia kadi na kushiriki katika hujuma ya wizi huo wa mitandao, kuiba utambulisho wa watu wengine na utakatishaji fedha” katika Mahakama za Mashariki, huko Virginia Novemba 12.

Iwapo atakutikana na hatia kwa makosa yote hayo, Burkov huenda akakabiliwa na kifungo la miaka 80 jela. Burkov alikamatwa Disemba 2015 wakati akiondoka Israel.

Mwezi uliopita, Waziri wa Sheria wa Israeli Amir Ohana alisaini amri ya kumkabidhi mshukiwa huyo kwa serikali ya Marekani.

Mwezi Novemba 10, Mahakama ya Juu ya Israel ilitupilia mbali rufaa ya Burkov wakati Russia ikipinga suala la kukamatwa kwake.

Russia ilikuwa imependekeza kumkabidhi raia mwenye asili ya Marekani na Israel Naama Issachar kwa Israel iwapo Burkov ataachiliwa.,

Uwezekano wa kuwepo msamaha kwa Issachar, 26, umeripotiwa ulizungumziwa mwezi Octoba wakati Rais wa Russia Vladimir Putin alipompigia simu Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kumpongeza katika sherehe za mwaka wa 70 wa kuzaliwa kwake.

Mzaliwa wa New Jersey, Issachar alikamatwa mwezi April baada ya polisi kumkuta akiwa na gram tisa za bangi katika begi lake alipokuwa akisubiri kuendelea na safari yake uwanjwa wa ndege wa Moscow.

Issachar alikuwa ametokea India akielekea Israel ambapo aliwekwa chini ya ulinzi na hakutakiwa kutoka nje ya uwanja wa ndege wa Russia.

Russia's Embassy to Washington says it has lodged a formal diplomatic protest after Israel extradited a Russian national to the United States, where he is suspected of stealing more than $20 million from U.S. consumers through credit card fraud.

Ubalozi wa Russia mjini Washington unasema umewasilisha malalamiko rasmi ya kidiplomasia kupinga hatua ya Israel kumkabidhi raia wa Russia kwa vyombo vya usalama vya Marekani, kwa kushukiwa kuwaibia wateja wa Marekani zaidi ya dola za Marekani milioni 20 kupitia wizi wa akaunti za mitandaoni kupitia Credit Card.

In a Wednesday Facebook statement, the embassy also accused Washington of "hunting" Russian citizens across the world.

Katika tamko lilowekwa kwenye Facebook Jumatano, ubalozi huo pia uliituhumu Washington kwa “kuwasaka” raia wa Russia sehemu mbalimbali ulimwenguni.

The statement said that Russia had formally sent an official note to the U.S. State Department, demanding Aleksei Burkov's rights be respected.

Tamko hilo limesema kuwa Russia ilikuwa imepeleka ujumbe rasmi Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ukidai kuwa haki za Aleksei Burkov ziheshimiwe.

The U.S. Justice Department says Burkov was "charged with wire fraud, access device fraud, and conspiracy to commit wire fraud, computer intrusions, identity theft, and money laundering" in the Eastern Court in Virginia on November 12.

Wizara ya Sheria ya Marekani amesema Burkov alikuwa amefunguliwa mashtaka ya wizi wa fedha kupitia mitandao, kufanya wizi kupitia mashine za kutoa fedha kwa kutumia kadi na kushiriki katika hujuma ya wizi huo wa mitandao, kuiba utambulisho wa watu wengine na utakatishaji fedha” huko Mahakama za Mashariki, Virginia Novemba 12.

"According to court documents, Burkov allegedly ran a website called 'Cardplanet' that sold payment card numbers (e.g., debit and credit cards) that had been stolen primarily through computer intrusions. Many of the cards offered for sale belonged to U.S. citizens. The stolen credit card data sold on Burkov's site has resulted in over $20 million in fraudulent purchases made on United States credit cards," the Justice Department said in a statement.

If convicted on all counts, Burkov may face up to 80 years in prison.​

Iwapo atakutikana na hatia kwa makosa yote hayo, Burkov huenda akakabiliwa na kifungo la miaka 80 jela.

Burkov was arrested in December 2015 while leaving Israel.

Burkov alikamatwa Disemba 2015 wakati akiondoka Israel.

Last month, Israeli Justice Minister Amir Ohana signed an extradition order to the United States for the suspect.

Mwezi uliopita, Waziri wa Sheria wa Israeli Amir Ohana alisaini amri ya kumkabidhi mshukiwa huyo kwa serikali ya Marekani.

On November 10, the Supreme Court of Israel rejected Burkov's appeal amid Russia's protests.

Mwezi Novemba 10, Mahakama ya Juu ya Israel ilitupilia mbali rufaa ya Burkov wakati Russia ikipinga suala la kukamatwa kwake.

Russia had proposed to exchange Burkov for a U.S.-Israeli national Naama Issachar, who was sentenced to 7 1/2 years in prison in Moscow last month for possession of marijuana.

Russia ilikuwa imependekeza kumkabidhi raia mwenye asili ya Marekani na Israel Naama Issachar kwa Israel iwapo Burkov ataachiliwa.,

A potential pardon for Issachar, 26, was reportedly discussed last month when Russian President Vladimir Putin called Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to congratulate him on his 70th birthday.

Uwezekano wa kuwepo msamaha kwa Issachar, 26, umeripotiwa ulizungumziwa mwezi Octoba wakati Rais wa Russia Vladimir Putin alipompigia simu Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kumpongeza katika sherehe za mwaka wa 70 wa kuzaliwa kwake.

Born in New Jersey, Issachar was arrested in April after police found nine grams of cannabis in her luggage during a layover at a Moscow airport.

Mzaliwa wa New Jersey, Issachar alikamatwa mwezi April baada ya polisi kumkuta akiwa na gram tisa za bangi katika begi lake alipokuwa akisubiri kuendelea na safari yake uwanjwa wa ndege wa Moscow.

Issachar was flying from India to Israel when she was detained and wasn't supposed to exit the airport in Russia.

Issachar alikuwa ametokea India akielekea Israel ambapo aliwekwa chini ya ulinzi na hakutakiwa kutoka nje ya uwanja wa ndege wa Russia.

XS
SM
MD
LG