Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 21, 2025 Local time: 16:52

Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi Gallant


Yoav Gallant
Yoav Gallant

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

“Zaidi ya miezi michache iliyopita uaminifu umeondoka. Kutokana na hali hii, nimeamua hivi leo kumuondoa waziri wa ulinz,” Netanyahut amesema katika taarifa iliyotolewa na ofisi yake, akiongezea kwamba amemteua Waziri wa Mambo ya Nje Israel Katz kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Gallant.

Forum

XS
SM
MD
LG