Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:42

Mkutano wa Marekani na Afrika: Rais Biden apendekeza kuwepo mwakilishi wa Afrika Mkutano wa G20


Mkutano wa Marekani na Afrika: Rais Biden apendekeza kuwepo mwakilishi wa Afrika Mkutano wa G20
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Viongozi wa Marekani na Afrika wanaendelea na mkutano wao katika ukumbi wa Convention Center ambapo mambo mbalimbali yanajadiliwa.

- Rais Joe Biden apendekeza kuwe na mwakilishi wa Afrika katika Mkutano wa G20.

- Macho na masikio ya Waafrika leo yako Qatar kuangalia iwapo Morocco wanaweza kuishangaza dunia kwa kuingia fainali ya Kombe la Dunia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG