Michuano hii ya wiki 12 kuanzia Machi 5 itaonyesha mechi zitakazo chezwa katika miji mbalimbali barani Afrika timu 12 zikiingia katika kinyang’anyiro cha kutafuta ubingwa. VOA imezungumza na mashabiki katika nchi za Afrika…
Matukio
-
Desemba 17, 2024
Makundi ya haki yanafurahia mahakama maalum ya uhalifu wa Gambia
-
Novemba 23, 2024
Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country