Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametaja maandamano yaliyofanyika katika baadhi ya sehemu nchini Kenya ni ishara ya utawala wa rais William Ruto haujawaridhisha Wakenya.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari