Kwa nini uhuru wa kuzungumza ni muhimu kwetu wote
- VOA News
Uhuru wa kuzungumza ni moja ya thamini kubwa za Amerika zinazoheshimiwa sana. Moja ya vitu vinavyolindwa na katiba ya Marekani ni uhuru wa kuzungumza hata kama matamshi hayo yanaweza kukasirisha thamini za watu wengine. Hivi ndivyo wasemavyo viongozi wa Marekani kuhusu uhuru wa kuzungumza na kwa nini ni muhimu kwetu wote. Tueleze mawazo yako kuhusu uhuru wa kuzungumza kwa kututumia barua pepe: voaswahili@voanews.com
Matukio
-
Desemba 24, 2024
Waandishi wa habari Msumbiji wanavyopambana taarifa za uongo
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?