Kiongozi wao anaeleza kuwa wanakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutoweza kumiliki mali zao wao wenyewe. Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea historia na juhudi za Wapemba katika mchakato wa kupata uraia na matatizo wanayokabiliwa nayo.
Zinazohusiana
Matukio
-
Januari 17, 2025
Burhan awekewa vikwazo na Marekani
-
Desemba 24, 2024
Waandishi wa habari Msumbiji wanavyopambana taarifa za uongo
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu