Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 16:28

Israel yalenga mashambulizi yake ya anga na ardhini katika mji wa Khan Younis


Israel yalenga mashambulizi yake ya anga na ardhini katika mji wa Khan Younis
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Mashambulizi ya anga na ardhini ya Israel leo yamelenga zaidi katika mji Khan Younis katika Ukanda wa Gaza.

Uchambuzi wa maoni wa Wapalestina unaonyesha uungaji mkono kwa Hamas kwenye Ukingo wa Magharibi umeongeza kasi tangu Oktoba 7.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG