Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 29, 2024 Local time: 04:23

Baraza la Wawakilishi Marekani labakia bila ya kiongozi baada ya Warepublikan wenye msimamo mkali kumuondoa Spika


Baraza la Wawakilishi Marekani labakia bila ya kiongozi baada ya Warepublikan wenye msimamo mkali kumuondoa Spika
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Baraza la Wawakilishi Marekani leo halikuwa na kiongozi baada ya Warepublikan wenye msimamo mkali kushinda kwa kura chache kumuondoa Spika wa Bunge Kevin McCarthy.

Rais wa zamani wa Marekani anatarajiwa kurejea leo mahakamani baada ya kuondoka katika chumba cha mahakama kufuatia kufungwa kesi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG