Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 21, 2025 Local time: 21:00

Miili ya waliofariki katika ajali ya ndege iliyotokea Mto wa Potomac yaendelea kuopolewa


Miili ya waliofariki katika ajali ya ndege iliyotokea Mto wa Potomac yaendelea kuopolewa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Miili ya watu bado inaendelea kuopolewa katika ajali ya ndege iliyotokea katika Mto wa Potomac karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ronald Reagan ulioko Washington, DC nchini Marekani.

Vita nchini DRC vyachukuwa muelekeo mpya huku kundi la waasi wa M23 wakiripotiwa kuelekea Bukavu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG