Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 04, 2024 Local time: 11:05

VITA: Watu zaidi ya 61,000 wanatarajiwa wamefariki katika kipindi cha miezi minne Sudan


VITA: Watu zaidi ya 61,000 wanatarajiwa wamefariki katika kipindi cha miezi minne Sudan
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Zaidi ya watu 61,000 wanatarajiwa kuwa wamekufa katika miezi minne nchini Sudan wakati wa vita.

Hofu yaendelea kuzuka na kutanda wakati raia wa Senegal wanatarajiwa kupiga kura za bunge siku ya Jumapili.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG