Tanzania yafanya uchaguzi wa serikali za mitaa huku kukiwepo maoni tofauti tofauti.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Sitisho la mapigano kati ya Isreal na kundi la wanamgambo la Hezbollah lenye makao yake nchini Lebanon lilianza kutekelezwa mapema Jumatano na hivyo kusimamisha mapigano ambayo viongozi wa Marekani na Ufaransa walisema yanaweza kufunga njia ya kuelekea kwenye sitisho jingine huko Ukanda wa Gaza.
Tanzania yafanya uchaguzi wa serikali za mitaa huku kukiwepo maoni tofauti tofauti.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari