Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 03:46

Wanafunzi waliokimbia vita Ukraine wanahofu ya kukamatwa Poland


Wanafunzi waliokimbia vita Ukraine wanahofu ya kukamatwa Poland
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wanafunzi waliokimbia vita nchini Ukraine na kutafuta hifadhi katika nchi nyingine kama Poland wanahofu ya kukamatwa na maafisa wa uhamiaji.

Taasisi moja ya kijamii nchini Kenya inatoa mafunzo kwa wanafamilia kuwa wahuduma wa afya kwa ajili ya wagonjwa wao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG