Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 14:59

Serikali ya Uingereza haijakata tamaa na mpango wake wa kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi


Serikali ya Uingereza haijakata tamaa na mpango wake wa kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Serikali ya Uingereza itajaribu wiki ijayo kushawishi majaji katika mahakama ya juu kubatilisha uamuzi uliotangaza kuwa ni kinyume cha sheria mpango wake wa kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi.

UN inakabiliwa na changamoto za kuwafikia watu milioni 18 wanaohitaji msaada nchini Sudan.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG