Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 10:01

Marekani kuipa Ukraine mabomu ya cluster kujibu mashambulizi dhidi ya Russia


Marekani kuipa Ukraine mabomu ya cluster kujibu mashambulizi dhidi ya Russia
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Mabomu ya cluster yamepigwa marufuku zaidi ya nchi 100, lakini wakati Ukraine inaishiwa na hifadhi ya silaha katika kujibu mashambulizi dhidi ya Russia Marekani hivi sasa imekubali kupeleka mabomu hayo anaeleza Msemaji wa Baraza la Taifa la Usalama la Marekani. Endelea kumsikiliza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG