Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 20:29

Mtoto wa Rais Biden kushtakiwa Julai 26


Mtoto wa Rais Biden kushtakiwa Julai 26
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:19 0:00

Tunaangazia kadhia ya Hunter Biden mtoto wa kiume wa rais wa Marekani Joe Biden, ambaye anatakiwa kufika mbele ya mahakama ya serikali jimboni Delaware, Julai 26, ili asomewa mashitaka yanayohusiana na kukwepa kulipa kodi pamoja na umiliki wa bunduki kinyume cha sheria.

XS
SM
MD
LG